Ndugu yangu hapo kwenye red unaposema tumepata uhai bure unamaanisha nn? Hivi naomba nikuulize, Kati ya alieumba na muumbwaji ni nani alikuwa na uhitaji wa mwenzie kiasi kwamba uniambie uhai nimepewa bure! Kwani mimi ndie nilipanga nipewe huo uhai? Aliyeumba ndie alipanga iwe hivyo!
Paragraph...
Alfu Lela ulela, Ndugu yangu kuzaliwa binadamu au mbwa sio issue, huenda hata mbwa nae anashukuru kuzaliwa mbwa na sio binadamu! Je unaweza kuthibitisha hayo Madai yako kuwa Kuna watu huongea na huyo mungu? Unajua je? Kwanini iwe baadhi? Mungu mbaguzi? Kwani tukikubali kuwa hatujui lolote kuhusu...
Na mkristo nae anasema dini ni moja tu ukristo! Na budha nae anasema dini ni moja tu ubudha! Kuna mamia ya dini hapa duniani kila mmoja anadai upande wake ndio sahihi! Kiufupi masuala ya dini ni kama kubeti! 😂😂
😂😂Umekimbia mjadala Ila nikwambie tu busara kitu kama hujui unasema kuwa sijui sio kuzunguka zunguka unapoteza muda! Na hapo nitakushangaa zaidi kwa kuamini kitu hukijui na wala huwezi kuelezea!
Kero yangu ni kwamba umeshindwa kunidhibitishia ni kwa jinsi gani ulipewa free will? Huku ukijihakikishia na kuhitimisha kuwa ni kweli ulipewa free will harafu unakimbia mjadala kwa kukwepa kunijibu!
Kubali tu hujui chochote Ndugu unafuata mkumbo na uoga usio na maana hata kama unaona wazi kuwa umeingizwa chaka Kwenye kuamini kwako! Na unakimbia mjadala😂😂
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.