Recent content by Angelyne

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mwigulu toka Bungeni: CHADEMA ndio waliolipua bomu mkutanoni kwao

    U seems to be more bright dear friend. Honestly u realy know how to analys things. Nimekupenda,na nimependa upeo wa akili yako...kwasababu haingii akilini kwny tukio km hlo mtu yupo busy anashoot kweli jamani?? Halaf km bom lingerushwa na wengne mbona basi wasikosee wakarusha upande wa huyo...
  2. A

    JamiiForums Tanzania James Ole Milya CHADEMA ni mtetezi wa wanyonge au Mnyang'anyi wa wanyonge?

    duh! Haya bwana sie watizamaji na wasikilizaji. Yan hapa mambo ni tia maji tia maji. Mwaga mboga nimwage ugali
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mh Mbunge Ahmed Shabiby ni mkwepa kodi!

    thibitisha...hzo ni ndoto za bunwasi.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mh Ahmed Shabiby wa Gairo asipewe sifa?

    for your information shabiby ni mkagulu original msidate na hyo rangi nyeupe! Siri ya mtung aijuaye kata,wanaomfaham shabiby ni wananchi wake wa gairo,we wa mbali huko utamfahamu vip? huyo anaewatuma mwenyewe sifa yake kubwa ni mnywa gongo vibandani,kuwen tu wapole! Shabiby ni wa gairo na gairo...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mh Ahmed Shabiby wa Gairo asipewe sifa?

    Shabiby anawaumiza weng sana! Waambie hao....!! Hao watakua wame2mwa.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mh Ahmed Shabiby wa Gairo asipewe sifa?

    wewe inaonyesha ni mpenda rushwa namba moja,manake haiwezekani mtu mpe sifa mbunge wake we ukimbilie kuhisi kapewa hela,c bure unaweza kua mgonjwa wewe!! Kwan we umekatazwa kumsifia wakwako? Km mbunge wako hana sifa mwambie aende akachkue koz gairo.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mh Ahmed Shabiby wa Gairo asipewe sifa?

    we si uende gairo ukaone mwnyewe!
  8. A

    JamiiForums Tanzania Mh Mbunge Ahmed Shabiby ni mkwepa kodi!

    mh,jaman hebu 2we 2naongea maneno yenye uhakika,2cropoke tu km hatujaenda shule! Huyo anaesema shabby co mtanzania anauhakika? Au mmetumwa kuja kuchafua tu sifa za watu! Ongeeni kwa data na co kutoa chuki zenu binafsi..hayo mabas inamaana yanapitia angani au? Hebu achen unafki bwana...baba wa...
Back
Top Bottom