Recent content by angelstars

  1. A

    JamiiForums Tanzania Dawa bora na sahihi ya kuondoa rashes uson

    Tafuta sabuni ya mchele au ukwaju original Sent using Jamii Forums mobile app
  2. A

    JamiiForums Tanzania Je, kujichubua ni dhambi?

    Basi kuvaa nguo ,kutoga masikio,kupakanmafuta ya kusoftisha,kukata kucha,kukata nywele nayo ni dhambi mana tunaenda kinyume na uumbaji Sent using Jamii Forums mobile app
  3. A

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Tubadili mfumo wa viti maalum, vifutwe!

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  4. A

    JamiiForums Tanzania Registration SUA

    Asante mkuu
  5. A

    JamiiForums Tanzania Registration SUA

    Nimekuelewa mkuu
  6. A

    JamiiForums Tanzania Registration SUA

    Ndiyo wamenipa reference no,,,na ukilipia kwa njia ya m-pesa,kabla ya kuweka hiyo reference no si wanakwambia uweke kwanza no ya kampuni??? [emoji53]
  7. A

    JamiiForums Tanzania Registration SUA

    Kwa njia ya simu???
  8. A

    JamiiForums Tanzania Registration SUA

    Food sciencek
  9. A

    JamiiForums Tanzania Registration SUA

    Habari, jamani kwa wale waliyofabya registration SUA for bachelor degree nahitaji msada wenu, Nimekwama kwenye malipo kwa njia ya simu,wamenitumia kumbukumbu no/reference no lakin hawajanitumia no ya kampuni,,,nimeangalia kwenye website yao lakini hamna kitu [emoji15] na nimewatumia email...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Application D.I.T

    Habari ndugu, Nimefanya application DIT kwaajili ya kujiunga degree mwaka huu, lakini nilikosea nilichagua mwanza campus badala ya dar-es-salaaam campus,,,,na ukweki ni kuwa mwanza campus hawatoi degree Sasa naomba mnijuze jinsi ya kubadilisha kwa maana sioni hiyo option kwenye system yao,,na...
  11. A

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Tubadili mfumo wa viti maalum, vifutwe!

    Habari wapendwa Husika na kichwa cha habari hapo juu,kuna kitu kinanitatiza sana. Naomba kujua hao wabunge wa viti maalamu wanachaguliwa kwa kuangalia vigezo vipi?Nimeingia kwenye page ya lemutuz,kuna post kasema kuwa kuwachagua ma DC wameangalia elimu(ya degree),uaminifu na uchapakazi,,sasa...
Back
Top Bottom