Recent content by angelfinic

  1. A

    JamiiForums Tanzania Funguka: Maisha yamekufunza nini?

    nimejifunza kuomba msamaha walionikosea endapo hawataomba wao...sababu naweza fikiri kuwa wamenikosea kumbe mim ndie mkosaji..ili maisha yaendelee.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli yupo wa kumaanisha haya maneno?

    hahaha..am here.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nimemchomea mke wangu kazini kuwa anatumia cheti feki

    umefanya vema sana..na ninafikiri ni wanaume wachache wenye roho km yako inapotokea kesi kama hii. i wish ningekuwa na moyo kama wako ili niweze iludisha familia yangu. mungu akuludishie furaha ya ndoa.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Ndege wa angani hawalimi Ila wanakula, Kuna mambo haya matano (5) pia wanakuzidi ujanja

    asante saana mkuu kwa somo zuri..hakika limenifundisha sana.ninalifanyia kazi kuanzia sasa na siku zote sitawalalamikia wazazi kwa lolote maisha mazuri yapo mikonon mwangu. barikiwa.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Mchepuko umeninyoa ikulu, umenipiga picha na kumtumia mke wangu

    kiukwel nachukizwa na watu wa dizain yako.. kwanza mlev,pil msaliti. mungu akusaidie kuinusuru hiyo ndoa. badilika."
Back
Top Bottom