Recent content by angel princess

  1. A

    Mdogo wangu amesoma HKL, Uhasibu chuo kikuu itawezekana?

    Km alifaulu hesabu anaweza kupata, lkn kwenye system wakati wa kuapply itakataa tu Cha kufanya, wakati wa kuapply chuo na course achague tu course yeyote atakayokubaliwa then huko chuo atakapokubaliwa aombe kubadilisha course asome hiyo atakubaliwa tu bila Shaka.
  2. A

    Ninatafuta mume

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  3. A

    Ninatafuta mchumba ambae tukiendana tuje tuoane

    Ninatafuta mchumba tuje tufunge ndoa, awe serious kweli ,elimu yangu ni diploma Nina miaka 25. Ninatarajia nimpate mchumba mwenye cfa zifuatazo Mwenye upendo wa dhati Mwenye kunijali mm na familia yangu Mtanashati Anizidi umri asipungue wa kwangu Mcha mungu Awe mrefu kidogo sio sana Mkristo Awe...
  4. A

    Ninatafuta mume

    Kazi naomba ujiongeze tu, maisha now days ni kusaidiana so kazi yoyote halali kwangu njoo nayo tu, unizidi kipato, na elimu yako unizidi. Karibu [emoji395]
  5. A

    Ninatafuta mume

    Ninatafuta mchumba tuje tufunge ndoa, awe serious kweli ,elimu yangu ni diploma Nina miaka 25. Ninatarajia nimpate mchumba mwenye cfa zifuatazo Mwenye upendo wa dhati Mwenye kunijali mm na familia yangu Mtanashati Anizidi umri asipungue wa kwangu Mcha mungu Mkristo Kwa aliye serious please...
Back
Top Bottom