Yaani umeshindwa hata kutafsiri ulichoki'quote'? Kwa nini usingetafuta mtu anayejua lugha hiyo ya kisheria ili akutafsirie?
Pamoja na kubebeshwa mabox ulaya, ulishindwa kujifunza japo lugha ya kuombea maji?
Mimi nakuombea kwa Mungu, balaa kubwa likukute kipindi hiki cha sikukuu, na machungu yake yawe ni ya miezi mitatu. Mungu ni mwema na ninaamini atatenda kulingana na dhamira mbaya uliyonayo juu ya wengine.
Ningekuwa tayari kushiriki, ila kama habari yenyewe inaletwa na LIZABONI, basi hata umaana wake huwa unapotea, sidhani kama kuna watu wengi watashawishika kuyaunga mkono.
Hukubaliani na wazo, sawa!! Kwani kuna mtu aliyekushurutisha ukubaliane na mawazo ya Mbowe? na kama ni kweli hukubaliani naye, je una ulazima wa kutujulisha? Sisi tuna haja ya kujua kama wewe hukubaliani na wazo la Mbowe?
Nilitaka kuchangia, ila nilivyojua kuwa thread ni LIZABONI nikaona ni kujipotezea muda, kwani anachoandika kwa kawaida ni utumbo mtupu, tena utumbo wa kuku.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.