Kuna kampuni moja inatoa huduma ya utumaji wa SMS za jumla. Kwa mfano sms zinazotumwa na benki tofauti kutoa taarifa kuhusu huduma zao hua zinatumwa na makampuni haya. Kampuni hizi zinauwezo wa kutuma SMS nyingi kwa wakati mmoja, sms zinakua na jina la benki au biashara au jina la mtu binafsi...
Ukitaka kujua jinsi ya kufaidi kwenye biashara ya mtandao, zungumza na wale waliofanikiwa kwenye hii biashara manake wapo. Ni biashara ya halali inayotambulika na Serikali ya Tanzania.
Usifuate maneno ya watu ambao pengine walikata tamaa nazo sasa yao ni kukatiza tamaa. kama mtu mwingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.