Hivi ukiwa muislamu ndo uachiwe uwe unafanya mauaji kwa watu wasiokuwa na hatia,halafu usimtete muhalifu kwa sababu tu ni muislamu,uliza Boko haram wanafanya nini Nigeria,halafu uliza je wale wanaouwawa ni wakristo tu au wengine wanauawa
Naona wote humu ndani mnataka kutoana ngeu za bure wakati mama anakula zake posho za bunge la katiba,ngoja nimpigie ili awatambue na kuwakatia japo 200,000 ili,mkanywe supu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.