Kama kweli atafanya ivyo,mtaamini yangu niliposema anaenda kulipa fadhira. Itakuwa dharau kwa Pinda,watanzania wote na riport ya Kamati ya Mwakyembe kwake itakuwa ameidharau. Hawezi kumrudisha 'MRICHMOND' yule.
Safi sana msanii. Huyu Kikwete angefaa kuhojiwa na watu kama akina Vicent Makole,ushaona wapi m2 anaulizwa kuhusu 'sura' ya nchi halafu anaelezea Mkonga wa taifa? Hivi ni kipi Kikwete achoona c chema hapa tz. Kila pungufu kwake ni 'ni kweli hilo suala lipo' bt amelitatua vipi,anatoa story. Hivi...
Kikwete ameshindwa kumjibu Kibonde kuhusu 'sura' ya serikali yake. Hapa hata kama hujaenda shule na kusoma 'political science' kikwete 'atakapoingia' tena kwa awamu nyingine atatengeza mhimili 1 tu wa serikali ambao ni utawala 'executive. Ameshindwa kusema idadi ya wizara na Mawazi. Kumbukeni ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.