Recent content by AndrewThegent

  1. AndrewThegent

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kujua taratibu kupata vyeti vilivyopotea

    Nashukuru kaka
  2. AndrewThegent

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kujua taratibu kupata vyeti vilivyopotea

    Nashukuru kaka hii nilikuwa sijajua.
  3. AndrewThegent

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kujua taratibu kupata vyeti vilivyopotea

    Wanajukwaa leo nimekuja na shida. Nilipotelewa na vyeti vyote vya elimu, hati ya kusafiria na cheti cha kuzaliwa. Vilipotea mwaka jana nilifanikiwa kutaarifu polisi. Nikapata kiapo cha mahakama pia loss report. Lakini pia nina original scanned soft copies. Sasa swala langu kuu ni kwamba nnataka...
  4. AndrewThegent

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi.

    Nimeajiriwa hapo tu inatosha
  5. AndrewThegent

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi.

    Nashukuru sana brother
  6. AndrewThegent

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi.

    I got employed
  7. AndrewThegent

    JamiiForums Tanzania *JKT yatangaza nafasi za kujiunga na mafunzo ya Jeshi

    Kama una michongo yako mtaani tayari au umri umezidi 25 usiende
  8. AndrewThegent

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi.

    Nimeziona bro na nimeshaapply nimefika vigezo vya post kama 2 hivi. Asante sana
  9. AndrewThegent

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi.

    Kaka tuyamalize yameshaisha msifike huko. Asante
  10. AndrewThegent

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi.

    Kaka basi yaishe. Sisi sote wanajamvi.
  11. AndrewThegent

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi.

    Basi ndugu yangu nilichukulia vingine tusameheane. Tusonge mbele.
  12. AndrewThegent

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi.

    Hapana ni mtazamo tu. Nisingependa kufanya kazi yoyote inayohusiana na maswala ya ulinzi na usalama. Nishajitolea sana huko nilipotoka na nimefanya hizi kazi bila mafanikio ya kuajiriwa nadhani i will pass with this one pia.
  13. AndrewThegent

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi.

    Blaza maliza hii usiifanye big deal. Usitafute recognition kupitia post yangu. U know nothing kuhusu uzalendo.
  14. AndrewThegent

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi.

    Asante hiyo ntaacha ipite
  15. AndrewThegent

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi.

    835
Back
Top Bottom