Nina elimu ya kidato cha NNE na cha sita, ni mwanaume miaka 22, ninaishi Tabata-relini, sina uzoefu wa kazi yeyote ila sitashindwa kufanya kazi yoyote halali...kazi ninayoomba yaweza kuwa kiwandani, madukani, tuition au shule kwa masomo ya Geo, History na kisw, pia hotelini....nataka nijikusanye...