Recent content by Andrew Mauki

  1. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tiba Asili na Mbadala Ijumuishwe katika Mfumo wa Afya Kikamilifu, Ili kuboresha Afya ya Watanzania

    400k ni pesa nyingi, wachache sana watawez kuimudu hii na ukiangalia wenye uwezo wa kutoa Tiba asili hawawez kukimudu hiki kiasi
  2. A

    JamiiForums Tanzania SoC03 Serikali iboreshe usafiri wa anga Ili kupanua wigo wa usafiri na usafirishaji nchini

    Serikali inabidi ibinafsishe hii sekta hii maan wameishindwa!
  3. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uchumi wa Gesi Asilia Umnufaishe kila Mwananchi

    Sahihi, kwa maana hiyo mazingira yetu pia yatakua ni masafi.
  4. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu ya sasa haimkomboi kijana wa Kitanzania

    Yaan mm nikikumbuka tu nilivokua nasoma kipindi cha shule, nakosa nguvu kabsa.
  5. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu ya sasa haimkomboi kijana wa Kitanzania

    Kwl kabisa, uchumi wetu utakia mzuri sanaa.
  6. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tupunguze Mfumuko wa Bei kwa Kuwawezesha Wamachinga kuuza Nje ya Nchi

    Kafanye utafiti utaipata tu, usiwe mvivu kusoma.
  7. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tupunguze Mfumuko wa Bei kwa Kuwawezesha Wamachinga kuuza Nje ya Nchi

    Elewa kwanza maana ya mmachinga.
  8. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Matumizi mabaya ya Rasilimali Asili ni Chanzo cha Mabadiliko ya Tabianchi

    Afu mbona jukwaa linajieleza, lugha ya kutumia ni kiswahili tu, ww unaandika kingereza afu bado ni broken. Acha izo kijana
  9. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Matumizi mabaya ya Rasilimali Asili ni Chanzo cha Mabadiliko ya Tabianchi

    Nishati mbadala zipatikane kwa wingi ili kupunguza matumizi ya mkaa na kuni.
Back
Top Bottom