Sababu kubwa ni vyombo vyetu vya habari. Kwa mfano leo, badala ya Television na radio zetu kuonyesha na kutangaza habari kubwa ya kesi dhidi ya kiongozi wa chama kikuu cha upinzani wao wanatangaza habari za Simba na Yanga. Ni aibu kwa kweli.
Wanawake wameumbwa wakiwa na nguvu mwilini ya kutunza watoto. Inapotokea njaa au magonjwa wana uwezo mkubwa wa kuvunilia. Kwa upande mwingine wanaume tunafanya kazi ngumu sana maishani. Vita, zege, kufikiri sana. Nawashangaa wanawake wanataka 50/50
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.