Recent content by Andersy

  1. Andersy

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa Dr. Tulia, amteua kuwa mbunge

    wengine sijui mnajichanganyaje ,,,, katengua unaibu mwanasheria mkuu. Hakuna alipoandika katengua nafasi ya kugombea uspika.
  2. Andersy

    Bomoa bomoa yaanza Kurasini shimo la udongo kupisha muwekezaji

    Waende mahakamani, wasilalamike tu kwenye mitandao
  3. Andersy

    Magufuli, Pesa hizi zinatoka wapi?

    Asipokwambia zitatoka wapi utamzuia mwanao kwenda shule?
  4. Andersy

    Hivi Rais Magufuli anaweza kupiga marufuku kupokea misaada ya Wahisani?

    Sasa kama huo ubavu anao unatakaje?
  5. Andersy

    John Magufuli kwa mujibu wa Salva Rweyemamu

    Swala moja ulijue ni kuwa zile nyumba hazikuuzwa kama za mtu binafsi, serikali ndiyo iliyoamua kuuza.... acheni michosho
  6. Andersy

    Nauliza tu, hivi ni sahihi kufuta kabisa safari za nje?

    Unauliza wakati jibu unalo....mchosho huu sasa
  7. Andersy

    Nauliza tu, hivi ni sahihi kufuta kabisa safari za nje?

    Yule mzee wa chato mjanja sana, amekuta kuna safari nyingi ambazo aliziona zimetengenezwa ili watu ajilipe,,, baada ya kushtuka kaamua kuzikata zote. Yule kichwa sana.
  8. Andersy

    Ujumbe mzito wa makamu rais wa Marekani kwa JPM

    Tunajua nini cha kufanya kuhusu Zanzibar,, Hatusubiri kufundishwa na mmarekani
  9. Andersy

    Naombeni kumfahamu dada anayezunguka na Magufuli kama msaidizi

    Acha zako, wanaume tuko fit zaidi
  10. Andersy

    Magufuli Huna Makundi wanafiki unaotaka waondoke wanatoka wapi?

    Kwanini umtetee mnafiki? Bila shaka wewe ndiwe mnafiki mwenyewe.
  11. Andersy

    GE2015 Kama hii ni kweli, then Serikali yetu ni dhalimu na haramu? Hukumu ya karma ijuu yake!

    Kumbe inauma ee!? Dhuruma zenu dhidi ya Zitto mlifurahi sana. malipo hapahapa bro
  12. Andersy

    Matokeo rasmi ya Urais kwa mujibu wa NEC (Official Results) - Uchaguzi Mkuu 2015

    Kuliko kuitumikia sacoss ya DJ bora niwape shavu fisiem....
  13. Andersy

    Humphrey Polepole anapotosha kuhusu mahusiano ya ZEC na NEC

    Hahahaa malipo yote ni hapahapa, Ubabe mliomfanyia Zitto mmeuona unavouma, badoo,,,, kaka ccm nipigie hiyo mikawa
  14. Andersy

    Matokeo rasmi ya Urais kwa mujibu wa NEC (Official Results) - Uchaguzi Mkuu 2015

    Tz amani bana, acha kushawishi umwagaji wa damu
  15. Andersy

    Humphrey Polepole anapotosha kuhusu mahusiano ya ZEC na NEC

    Mapovu mapovu ukawa, mapovu haya jengeni kiwanda cha sabuni
Back
Top Bottom