Usaili umefanyika toka mwaka jana mwezi wa kumi tarehe 5 mbona kimya hadi leo au ndio siasa? Manake kada zingine zote washaitwa kazini tena hata waliofanya usaili mwaka huu wameitwa kazini wenye taarifa kuhusiana na ishu hii tusaidiane kupeana hizo taarifa.
Kwanini serikali imejitutumua haraka katika sakata la ziwa nyasa dhidi ya wa Malawi wakati huohuo ikilinyamazia swala la uvamizi wa kigamboni wanaotaka kuwahamisha wazawa pasipo kufata sheria za nchi kwa kisingizio cha kuanzisha mji mpya?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.