Karibu sana mkuu,tuna group la WHATSAP lenye watanzania waliomaliza kozi hii,wanafunzi wanaoendelea na kozi hii na wanaohitaji kusoma kozi hii.Ni pm namba yako ya Whatsapp.
IDIOT... Huu uzi ni kwa ajili yetu sisi siyo wewe malaya wa kisiasa.Huu uzi ni kwaajili ya wanao tafuta riziki zao mwenyewe siyo wewe mpka upige magoti LUMUMBA
Ulivyo mbumbu sasa humbuki wale wenzake walikamatwa lini na yeye alikuwa wapi? Nakukumbusha walikamatwa mwezi AUGUST 2020.Uchaguzi ulikuwa october 2020.Mbowe alikuwa mgombea ubunge jimbo la hai na alishiriki kampeni mwanzo mpaka mwisho kama ni kosa la ugaidi kwanini hakukamatwa kipi hicho.Acha...
Mimi ni zaidi yaani nimetokea kuchukia sana CCM na polisi.Yaani leo nimemuona Mwenyekiti wa CCM wilaya kanisani nikaumia sana nikakosa concentration kabisa
Tumia akili kidogo,acha akili za siasa za umalaya malaya.Shida siyo kuwa mwanaCCM shida ni yeye kukataa kuwa siyo mwanachama alikuwa na lengo gani.Acha mihemko ya kisiasa
Shahidi alikuwa haja julikana ,alivyo julikana ndugu yake ambaye ni mpenda haki ndo akatoa ukweli na udhibitisho wa picha in short kesho kwenye cross examination za KIBATARA tutajua zaidi
Acha siasa za kishamba,acha kutafuta laana .Umekosa cha kuwafurasha mabwana zako hapo Lumumba.Kama unatafuta hela andika kwa kuandika ,andika articles za kukusaidia kuongeza kipato.CCM itapita na laana utapata wewe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.