Recent content by Anana_

  1. Anana_

    JamiiForums Tanzania Natamani Watanzania tuanzishe Sanduku la kuchangia nguo tusizozitumia kwa wenye uhitaji

    Hao wa mjini hawana shida, ila ukienda kijijini huko watu hata viatu hawana. Hakuna anaweza kuafford kununua nguo mpya kugawa, Duniani tunategemeana ulichokichoka wewe mwingine kinamfaa…
  2. Anana_

    JamiiForums Tanzania Ngono salama hurefusha umri wa kuishi na kuimarisha afya ya mwili

    Ngono salama ya kufika mshindo, maana unaweza ukafanya ngono na usifike mshindo.. Waulize wanawake 😀😀😀
  3. Anana_

    JamiiForums Tanzania Natamani Watanzania tuanzishe Sanduku la kuchangia nguo tusizozitumia kwa wenye uhitaji

    Kwaio wewe unaona ni bora usigawe nguo uliovaa ila ukamnunulia mtumba, ila wabongo bana 😀😀😀 Tembea uone, yan duniani nchi zote zilizoendelea zina donation bins, hakuchomi moto vitu vinavyoweza kutumika na mwingine
  4. Anana_

    JamiiForums Tanzania Natamani Watanzania tuanzishe Sanduku la kuchangia nguo tusizozitumia kwa wenye uhitaji

    Yan ni balaa, ukienda vijijini daah
  5. Anana_

    JamiiForums Tanzania Natamani Watanzania tuanzishe Sanduku la kuchangia nguo tusizozitumia kwa wenye uhitaji

    Nitafatilia hii kwa Dar
  6. Anana_

    JamiiForums Tanzania Natamani Watanzania tuanzishe Sanduku la kuchangia nguo tusizozitumia kwa wenye uhitaji

    Mkuu mimi UK nimekaa yan nimeishi wana system nzr sana uwez kuta mtu anachoma vitu vinavyoweza kutumika… Donation ya nguo ni worldwide try to be positive
  7. Anana_

    JamiiForums Tanzania Natamani Watanzania tuanzishe Sanduku la kuchangia nguo tusizozitumia kwa wenye uhitaji

    Nina nguo nyingi nzuri na sina ndugu wa kumgawia… siwez kuzichoma ni nzuri nazipenda natamani nigawie wenye uhitaj pekee.. Hiki ndicho nilichonacho kikubwa ninachoweza kugawa
  8. Anana_

    JamiiForums Tanzania Natamani Watanzania tuanzishe Sanduku la kuchangia nguo tusizozitumia kwa wenye uhitaji

    Mkuu tembea hata nchi kubwa duniani uone… Ukienda UK wana donation bins kila mtaa, Zimewekwa maalum kwa makubaliano ya nchi, nenda pia marekan wanazo donation bins za kuweka vitu bora usivyovitumia ni tofaut na dust bins… maana yake unachoona hakikufai kuna mwingine kwake ni ndoto..
  9. Anana_

    JamiiForums Tanzania Natamani Watanzania tuanzishe Sanduku la kuchangia nguo tusizozitumia kwa wenye uhitaji

    Nani ananunua? Na atanunulianwangapi? Bro tunaongelea vijiji sio kaya.. Je hizo za karume hazikuvaliwa na watu? Tunapoongelea kutoa nguo maana yake baada ya hilo zoezi kuna hatua zinafatwa kama kusafishwa kwa madawa na kuondoa uwezekano wa contact disease…. Ingekua kugawa nguo ni magonjwa bas...
  10. Anana_

    JamiiForums Tanzania Natamani Watanzania tuanzishe Sanduku la kuchangia nguo tusizozitumia kwa wenye uhitaji

    Nataman JF wangeibeba hii mada ikaenda viral insta/fb tungepata namna nzuri ya kukamilisha hili suala
  11. Anana_

    JamiiForums Tanzania Natamani Watanzania tuanzishe Sanduku la kuchangia nguo tusizozitumia kwa wenye uhitaji

    tunaongelea wenye uwezo wa kudonate kile kizuri kinachoweza kuwafaa wengine… Sio nguo iliochoka bali ni nguo inayofaa kuvaliwa na mtu mwingine
  12. Anana_

    JamiiForums Tanzania Natamani Watanzania tuanzishe Sanduku la kuchangia nguo tusizozitumia kwa wenye uhitaji

    Ni kweli kabisa, yan huruma
  13. Anana_

    JamiiForums Tanzania Natamani Watanzania tuanzishe Sanduku la kuchangia nguo tusizozitumia kwa wenye uhitaji

    Kabisa, na watu wa kuwapa unakuta huna sasa kungekua na hiki kitu tungesaidia wenzetu
Back
Top Bottom