Recent content by anamila

  1. A

    Anadai nikimtumia sana sitamuoa. Nimemwacha na mwili wake

    Huna mpango wa kuoa Maisha! Kaka mambo gani haya.
  2. A

    Anadai nikimtumia sana sitamuoa. Nimemwacha na mwili wake

    Shimboni Shicha tubu mangi ako. La le mbe jaribu deda na mamsapu kwamba kukundye ndoo, alafu kumbese Nader uumu na kyemeri.. Kumbya wazi kwamba kada nalabadilika kyafuma fon... Kulaamuo n dea tubu kulandededa nawe nincha fon. Eka mangi. Kundefika MBE.
  3. A

    Tukutane hapa watoto tuliokuzwa na Ma-Single Mothers

    Mkuu hapa Mimi nakataa.. Natamani nisingeitwa huu ubini.. Alikosewa kosa gani for the same of kids?? Akishindwa tu kuonyesha upendo hata kwa unafiki?
  4. A

    Rafiki shemeji ulinitesa lakini nilikuelewa

    Bora dadake ana Maisha yake
  5. A

    Tukutane hapa watoto tuliokuzwa na Ma-Single Mothers

    Mkuu ni kweli mtoto sio shamba. Hii ni Africa mkuu hakuna kbs vituo vya kulealea wazee.. Hata kama una mali kiasi gani ila utahitaji wasimamizi wa karibu hasa ktk umri kuanzia 70-150. Na hata wazazi wanaorudi wanajua kbs huyu mwanangu ni security ya baadae...! Ukikosa watoto wa kukulea...
  6. A

    Amemtelekeza mke kwa miezi 10 sasa

    Mkuu mkuu jamani atafute msela wayajenge? Kuna msela atakubali kuyajenga Na single maza wa mtoto wa miezi miwili!? Mume wa MTU sumu?
  7. A

    Tukutane hapa watoto tuliokuzwa na Ma-Single Mothers

    Mkuu hawa wana zile sababu za *akanitegeshea mimba* na vijisababu vingine vya kiupuuzi km hivyo.
  8. A

    Tukutane hapa watoto tuliokuzwa na Ma-Single Mothers

    Exactly wengine tumejionea kabisa wababa waliotukimbua wakijitokeza kunusanusa walipokuta majukumu wakakimbia tena!
  9. A

    Nifanye nini niwape amani, na mimi niwe na amani?

    Okay... Anafahamu fika kuwa wewe sio mwanae wa kumzaa.Endelea kumuheshimu tu. Km uko vizuri kiuchumi jaribu kuchangia ada ya mdogo wako ambae ni mwanae. Usimbeze hata siku moja..pole mkuu
  10. A

    Nifanye nini niwape amani, na mimi niwe na amani?

    Muite baba yako mlezi mweleze kinagaubaga kuwa unampenda na unamuheshimu yeye na mchango wake hadi ulipofika sasa! Mweleze kuwa upon tayari kutoa msaada kwa wadogo zako wa kimawazo ( km una uwezo changia ada ya mmoja wa wadogo zako wa baba mlezi) Huyu baba mwingine msikilize kwa umakini...
  11. A

    Tukutane hapa watoto tuliokuzwa na Ma-Single Mothers

    Makubaliano ya kumwachia MTU mwanao alafu usijishuhulishe kabisa nae? Makubaliano hayo yamfanye mtoto aangamize ndoto zake? Makubaliano kwamba mama apambane na mtoto ktk hali zote ila likija suala la mtoto kupata pesa then asiingilie ugomvi wazazi amtunze baba vzr?? Au unaongelea makubaliano...
  12. A

    Tukutane hapa watoto tuliokuzwa na Ma-Single Mothers

    So mkuu kaka yako, rafiki yako/baba yako au wewe umemkimbia mwanao kwa sababu ipi MAALUM??
Back
Top Bottom