Dar es Salaam.Mbunge wa Musoma Vijijini (CCM), Nimrod Mkono ametoa ufafanuzi juu ya uhusiano wake na Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe.
Hatua hiyo ya Mkono imekuja baada ya Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu kumtuhumu kuwa aliwahi kumpa...
Sasa nani muongo, hapa aliyesema alipewa magari mawili au yule aliyeanza kuzusha tuhuma badala ya kujibu? At least kuna coincidence kwamba kweli Zitto ana magari mawili kutoka kwa Mkono and not the other wise.
kwanza unatakiwa uprove kuwa ni kweli alichukua. Pili, unless useme beyond reasonable doubt kuwa alichukua kwa makusudi ya kusaliti chama. Mbona hujahoji pesa zilizotoka kwa Sabodo?
Tuhuma kuwa Mbowe alipewa pesa na zikatumika kwenye kampeni za chama, tarime (ubunge) na kwa Dr Slaa (uraisi), sioni kama ni tatizo. Tena tulitakiwa kumsifu Mbowe kama strategic CEO anayeweza kusolicit funds kufanikisha malengo ya organisation. Hii ni kwa sababu hapa hakupewa kama Mbowe...
Tuhuma kuwa Mbowe alipewa pesa na zikatumika kwenye kampeni za chama, tarime (ubunge) na kwa Dr Slaa (uraisi), sioni kama ni tatizo. Tena tulitakiwa kumsifu Mbowe kama strategic CEO anayeweza kusolicit funds kufanikisha malengo ya organisation. Hii ni kwa sababu hapa hakupewa kama Mbowe, bali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.