Recent content by Anajua

  1. A

    JamiiForums Tanzania SoC01 Nilivyotengeneza kipato kwa mtaji wa Tsh 50,000 tu

    Wewe ni mzuri kwenye uhandishi lakini story haina ukweli
  2. A

    JamiiForums Tanzania St. Francis Mbeya kuna siri gani?

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  3. A

    JamiiForums Tanzania St. Francis Mbeya kuna siri gani?

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] duh umeenda shule kweli? . Au unajilinganisha uwezo wako wa mwanao.
  4. A

    JamiiForums Tanzania St. Francis Mbeya kuna siri gani?

    Yah inawezekana kiswahili na lugha nyingine si unajifunza tu ? .
  5. A

    JamiiForums Tanzania St. Francis Mbeya kuna siri gani?

    Hapana anaweza asiwe na maana hiyo labda , wengi lugha zetu za kwanza ni lugha zetu za makabila alaf kiswahili lugha ya pili mimi nimemuelewa kwa upande huo. Mfn kuna maeneo mimi hukwepa kutumia msamiati wa kiswahili kutokana na kusumbuliwa na matumizi sahihi ya silabi L& R. Lakini kama...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kumpeleka mtoto shule yenye ada kubwa ni kupoteza tu hela

    Tuendelee kutafuta hela ndugu zangu mimi mwenyewe ni muhitimu wa chuo ambaye sikupata kazi niliyosomea, lakini hii haiondoi ukweli kwamba natamani nipate pesa Mwanangu asome shule yenye mazingira mazuri na malezi bora. Kuhusu watoto kumaliza na kukaa tu hii pia inachangiwa na uwezo wa wazazi...
  7. A

    JamiiForums Tanzania St. Francis Mbeya kuna siri gani?

    Lakini kusema kiswahili sio lugha yake ya kwanza inawezekana kama ilivyo kwa Watanzania wengi [emoji23]
  8. A

    JamiiForums Tanzania Vigezo vya kujiunga na Vyuo vya Kati (Colleges) kwa ngazi za Cheti na Diploma

    Duuuh . Ngoja waje wajuzi zaidi yangu katika hili labda
  9. A

    JamiiForums Tanzania SAMIA’S FIRST SIX MONTHS: No one is yet in a position to conclude with confidence what President Hassan’s style or focus will be

    I can only say, there is the difference between the one who gets prepared to be a president and the one whose leadership came as an emergency. You can not learn how to lead while you are leading. This is the country not a car.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Naomba code za kufanya namba isipatikane hata ukiwa umewasha simu

    Hamnaga uzamani kwenye kujifunza, mtu kama hulijui jambo ni jipya kwako. Huu ndo utofauti
  11. A

    JamiiForums Tanzania Naomba code za kufanya namba isipatikane hata ukiwa umewasha simu

    Aaaa apo sawa nimekupata pamoja sana mkuu
  12. A

    JamiiForums Tanzania Naomba code za kufanya namba isipatikane hata ukiwa umewasha simu

    Kujitoa je Maana Ndo kasheshe
  13. A

    JamiiForums Tanzania SoC01 Vijana tukifanya hivi, tutafika mbali

    Umenena vyema
  14. A

    JamiiForums Tanzania Naomba code za kufanya namba isipatikane hata ukiwa umewasha simu

    [emoji1787][emoji1787] ndo kujifunza lakini Dah. Bado natamani niijue ya voda maana ilikataa
Back
Top Bottom