Recent content by amyb

  1. A

    Sheria zetu zinalega wapi hadi mashoga waongezeke na kuzidi kutamba tz?

    Mm naomba kuuliza kwan ili tatizo la homon halitibiki? Mtu mwenye tatizo la ushoga hawezi pata matibabu akaachana na hzo mambo kama mtumia madawa ya kulevya??
  2. A

    Sijawah kutoa shahawa msaada jamani

    Mm ni mwanaume, huwa sitoi chochote aka dem anaomba poo naishia happ hapo so smtmz naoma soo.
  3. A

    Sijawah kutoa shahawa msaada jamani

    Mm naona kama huna wazo la kumsaidia mtu bora tu unyamaze coz majibu mnayoyatoa naona kama mnapoteza mda wanu. Hebu mwenye hekima na uelewa anisaidie katika hili
  4. A

    Sijawah kutoa shahawa msaada jamani

    Sasa kama sina nifanyaje?yan cjawah kupiz
  5. A

    Sijawah kutoa shahawa msaada jamani

    Nimeanza kufanya mapenzi mwaka wa tano sasa lakini sijawahi kutoa shahawa (kufika kileleni) hata nifanye tendo la kujamiana muda gani. Hili ni tatizo au ni uzembe wangu??
  6. A

    Naombeni msaada kwenye appeal

    nahitaji kuedit information ambazo nimezisubmit kimakosa sijui nifanyeje naomba msaada wenu wa hali na mali kwa haraka
  7. A

    Biashara ya compendium udom ni balaa, walimu wanatuibia wanafunzi

    njie mnaongea tu coz hamjui yaliyomo humu hapa hapajakaa sawa bhana kwann tulazimishwe kununua hizo handout zao kwa bei kubwa na vitisho vingi kwamba tusipo nunua tutafeli? hivi mnahisi kuwa wote tuna mikopo? achen hizo bhana mna support ujinga kwan mshahara hawana?
  8. A

    Heslb appealing

    mtandao bado unasumbua sijui n kwamgu tu ama n kwa wote hebu nisaidiwe katika hili
  9. A

    Uhaba wa maji UDOM na athari zake...

    Sikuwahi kuwaza kama kuna chuo chenye shida ya maji kama hiki. Maji ni kidogo na ni chumvi hakuna mfano, hasa college ya education kwa walio home bado mtenge kabisa fungu la maji ya kunywa maana haya yaliyopo katu huwezi kunywa
  10. A

    Ushoga Makongo Sekondari

    sio makongo tu jaman wazaz muwe makini mapopeleka watoto shule za boarding maana kuna uchafu wa kila aina mm ni mwalimu na niliwah kuwa patron nafaham hzo kesi zipo nyingi sana
Back
Top Bottom