Recent content by amso

  1. amso

    Qsat Decoder model Q28G kwa bei nafuu Tanzania

    naomba kuzijua channels za canalsat 22w
  2. amso

    Jipatie Qsat Q23G HD satellite FTA receiver

    mwl naweza kupata account ya avartcam
  3. amso

    Application gani nzuri ya kupunguza ukubwa wa video kwenye simu

    kuna video moja nimeishoot sasa nataka kumtumia mtu ila inasema ina MBs nyingi sana inahitaji kubadirishwa ili iwe na ukubwa mdogo⇨⇨msaada tafadhari
  4. amso

    Nawezaje kupata channel nyingi kwenye TV bila king'amuzi?

    mimi mwenyewe nina tv ya digital ambayo ukichomeka antenna tu mambo sebureni ila inaboa inavyosumbua channel mara zije mara zisepe ila za local zipo stable ⇨⇨mimi nazungumzia km mbc one mbc action mpk 4 na zile za dubai one na movies zake pamoja na sports zake
  5. amso

    Nawezaje kupata channel nyingi kwenye TV bila king'amuzi?

    ugharama wa vyabure nikule kusumbua kwake.mwisho wa maelezo hakuna cha bure kisichosumbua zaidi ya pumzi
  6. amso

    Nawezaje kupata channel nyingi kwenye TV bila king'amuzi?

    hahahahahahaaaaaaaa vya bure ghalama
  7. amso

    Pata DSTV Premium channels kwa kisumbuzi maalum bila malipo ya mwezi

    https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=464219
  8. amso

    wahindi bwana!

    amekuchukulia du wako nn
Back
Top Bottom