Recent content by amshapopo

  1. amshapopo

    JamiiForums Tanzania Safari ya kununua hisa za NMB inaanzia hapa. Ml 87 stake, liwalo na liwe!

    usiogope. Ndo muda mzuri wa kununua
  2. amshapopo

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    location wapi?
  3. amshapopo

    JamiiForums Tanzania Safari ya kununua hisa za NMB inaanzia hapa. Ml 87 stake, liwalo na liwe!

    Mnaendelea kuwekeza au mnaogopa wadau? 😂😂😂 Usiogope calculated risks kwani hakuna pesa rahisi duniani
  4. amshapopo

    JamiiForums Tanzania Bwashee kwa totozi za humu ukishawahi jizolea?

    Tubless watu wajionee uumbaji 😂😂😂
  5. amshapopo

    JamiiForums Tanzania Safari ya kununua hisa za NMB inaanzia hapa. Ml 87 stake, liwalo na liwe!

    Anza kwa kudown DSE hisa kiganjani then jisajili kwa Nida namba. Mengine utajifunzia along the way
  6. amshapopo

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    Ok
  7. amshapopo

    JamiiForums Tanzania Bwashee kwa totozi za humu ukishawahi jizolea?

    Kuna toto nzuri humu tukianza na Mallerina Mahondaw Lamomy Lovelovie duh kama ndo kweli zile pics za selfika ni zao……..nikiri kuna watu wanakojolea pazuri! Ila kuna huyu BICHWA KOMWE - nahisi ni njemba aliye left group
  8. amshapopo

    JamiiForums Tanzania Safari ya kununua hisa za NMB inaanzia hapa. Ml 87 stake, liwalo na liwe!

    Uliza kwenye hisa unaanza na hisa 10 za kampuni kwa bei husika
  9. amshapopo

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu matibabu ya macho na gharama zake

    So kuongeza lensi haina madhara?
  10. amshapopo

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu matibabu ya macho na gharama zake

    Kwani kuna operation ya myopia? Mimi sioni mbali na natumia miwani. Lakini bado kuona mbali kama mwenye macho ya kawaida tatizo. Natumia lensi -5 wanasema nikaongeze lensi, ni kweli? Haitasababisha shida zaidi?
  11. amshapopo

    JamiiForums Tanzania Safari ya kununua hisa za NMB inaanzia hapa. Ml 87 stake, liwalo na liwe!

    Wekeza pesa tulia then pesa zako zikufanyie kazi
  12. amshapopo

    JamiiForums Tanzania Safari ya kununua hisa za NMB inaanzia hapa. Ml 87 stake, liwalo na liwe!

    Hujaelewa nini mkuu
  13. amshapopo

    JamiiForums Tanzania Safari ya kununua hisa za NMB inaanzia hapa. Ml 87 stake, liwalo na liwe!

    Invest more get more
  14. amshapopo

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    Duh sio mchezo. Kumbe unajichetua humu na uzuri unao 😂😂😂🙌
Back
Top Bottom