Kwan kuuliza kuna tatizo bro vp nimeuliza kama huna jibu unakaa kimya ila kama umalojb bax unaweza jb, maana mm nauliza lingine wewe unajb lingine khaaaa
Hahahahahahahahahahahahahaaaa kaka ni hataree hyo kesho kutwa tutatafutana kwenye mtandao tumelala mika sana ila hatimaye tarehe 5 october ndo finally duuuuh nawatakia kila la kheri tuchaguliwe woteee na mm nichaguliwe pia mungu awe nanyi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.