Wewe ni mtunzi mzuri sana. Keep it up. Story zako ni kama matukio ya kweli na hii inazipa ubora sana ukilinganisha na za watunzi wengine.
Kitu kikubwa kinacho kutofautisha na wengine ni namna ya upangiliaji na uchanganyaji wa story ndogo kwenye story kubwa. Pia humchoshi msomaji kwa kuelezea...
Well, kwenye jina Tanzania, herufi "i na a" aliziongeza kutokana na picha aliyoipata kwenye majina mengi ya nchi za Africa kuishia na "ia" mfano; Namibia, Zambia, Ethiopia, Somalia, Algeria, Tunisia na Gambia. Kutokana na maelezo yake niliyowahi kuyasikia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.