Recent content by ampersand

  1. A

    JamiiForums Tanzania Maisha baada ya chuo vs uhalisia mtaani

    Ahsante sana mkuu
  2. A

    JamiiForums Tanzania Maisha baada ya chuo vs uhalisia mtaani

    Ahsante sana
  3. A

    JamiiForums Tanzania Maisha baada ya chuo vs uhalisia mtaani

    Kaka Mshana fanya jambo kwa your young brother 🙏
  4. A

    JamiiForums Tanzania Maisha baada ya chuo vs uhalisia mtaani

    Nashukuru kwa kuwatag ila bado hawajanifikia
  5. A

    JamiiForums Tanzania Maisha baada ya chuo vs uhalisia mtaani

    Wakuu naendelea kupata ushauri, ni mzuri Naomba pia mnipige tafu sina kitu mfukoni hali inatisha uhakika wa kula haupo nimeona nije humu 🙏
  6. A

    JamiiForums Tanzania Maisha baada ya chuo vs uhalisia mtaani

    Nashawishika kuamini hili
  7. A

    JamiiForums Tanzania Maisha baada ya chuo vs uhalisia mtaani

    Nimekuelewa mkuu shukrani sana kwa ushauri
  8. A

    JamiiForums Tanzania Maisha baada ya chuo vs uhalisia mtaani

    Duuh hii kali
  9. A

    JamiiForums Tanzania Maisha baada ya chuo vs uhalisia mtaani

    Nakuelewa mkuu. Upo sahihi
  10. A

    JamiiForums Tanzania Maisha baada ya chuo vs uhalisia mtaani

    Ninamshirikisha Mungu kwenye mipango yangu ila mambo yote yanaenda sivyo hadi ninajiona labda nina nuksi Nashukuru kunitia moyo mkuu wangu 🙏
  11. A

    JamiiForums Tanzania Maisha baada ya chuo vs uhalisia mtaani

    Ahsante sana mkuu umenisanua Hilo la kuniombea usiache nina hali inatisha. Kama una michongo tushare, Dunia tunapita hii
  12. A

    JamiiForums Tanzania Maisha baada ya chuo vs uhalisia mtaani

    JFs Members uzima upo? Nisiwachoshe niende Moja kwa Moja kwenye hoja. Safari ya chuo kuelekea mtaani inaanza tu pale graduation inapoisha Hii naongelea experience yangu Nilipongenzwa kwa bashasha kede kede kwenye graduation yangu na kupewa moyo nishatoboa kazi zipo tu Sasa baada ya miezi...
Back
Top Bottom