Recent content by Amoskana

  1. Amoskana

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuhusu kuhama chuo, hii imekaaje?

    Mimi nikujibu kuhusu hathari za kupata mkopo kwa mwaka huu kama ikitokea umehama chuo kulingana na guidebook ya mkopo mwaka huu inasema, Bodi hawata hamisha mkopo kama ikitokea mtu amehama chuo..hebu pitia vizuri guidebook yao ya mwaka huu nadhani utakutana na kufungu hicho.
  2. Amoskana

    JamiiForums Tanzania NECTA yatangaza matokeo ya Darasa la Saba 2019. Ufaulu waongezeka kwa asilimia 3.78

    siku hizi kupata matokeo ni rahisi sana technology imekua
  3. Amoskana

    JamiiForums Tanzania Hatimaye uandikishaji umefikia hatua ya nyumba kwa nyumba

    hahhah wapi huko mkuu
  4. Amoskana

    JamiiForums Tanzania Hatimaye uandikishaji umefikia hatua ya nyumba kwa nyumba

    hahh Mungu atunusuru na hii dhahama
  5. Amoskana

    JamiiForums Tanzania Uandikishaji Wapiga Kura 2019: Baadhi ya hoja za wasio tayari kujiandikisha ni hizi...

    Nani anaweza kuufuta Upinzani?..hakuna
  6. Amoskana

    JamiiForums Tanzania Hatimaye uandikishaji umefikia hatua ya nyumba kwa nyumba

    Hapo ni kujiandikisha bado upigaji wa kura
  7. Amoskana

    JamiiForums Tanzania Ndoto tunazoota na tafsiri zake

    Thanks mkuu
  8. Amoskana

    JamiiForums Tanzania Hili sanamu la Baba wa Taifa JK Nyerere limekosewa sana, halifanani naye

    tuko vizuri
  9. Amoskana

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Kidato cha Sita kwa Mwaka 2019 yametangazwa rasmi leo

    Ngoja tusubiri Guidebook itasemaje kuhusu watu wa afya maana kila mwaka TCU huwa wanakuja na mambo mapya kulingana na ratiba ya TCU Guidebook wanatoa kesho mkuu
  10. Amoskana

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Kidato cha Sita kwa Mwaka 2019 yametangazwa rasmi leo

    Dirisha la kuomba vyuo linafubguliwa kuanzia tarehe 15/07/2019 muda umekaribia
  11. Amoskana

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Kidato cha Sita kwa Mwaka 2019 yametangazwa rasmi leo

    Hizi ni kozi zilizo udom ambazo hazina ushindani kwa education hizi nyingine kwa pale udom ambazo hazina ushindani
  12. Amoskana

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Kidato cha Sita kwa Mwaka 2019 yametangazwa rasmi leo

    Kama mwaka huu akikosa chuo ..basi mwakani akiomba kwa usahihi atapata tu Lakini cha kumshauri akiwa anaomba mwaka huu inabidi aombe kwa umakini mkubwa, asiombe cozi zenye ushindani wa hali ya juu Dirisha la maombi ya vyuo vikuu linafunguliwa kuanzia tarehe 15/07/2019
  13. Amoskana

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Kidato cha Sita kwa Mwaka 2019 yametangazwa rasmi leo

    Kweli mkuu inabidi achague kozi ambazo hazitakuwa na competition bila hivyo atabaki mpaka mwakani
Back
Top Bottom