Recent content by Amos Muhagachi

  1. A

    Maoni na Ushauri kwa Joshua Nassari

    Nilimsikiliza Mh Nassari vizuri Sana nilianza kuishiwa nguvu kule kumlinganisha mke wake na majukumu ya Bunge sio sahihi akumbuke gharama ya uongozi unajiuliza nitalifanyia Nini Taifa langu sio Taifa langu nitanifanyia Nini Pili sikubaliani na Mh.Nassari kabisa kuwa aliona ni bora abaki na mke...
  2. A

    PAC: Baada ya marekebisho ya hesabu kufanyika hakuna tofauti ya Trilioni 1.5 iliyoonekana katika ya makusanyo na mfuko wa Serikali

    Taifa lolote duniani huendeshwa kwa njia maridhiano kulingana na Mila na desturi za nchi yenyewe Kuna nchi hapa Duniani hazina Katiba au miongozo rasmi na zilizo na Katiba, Katiba zao nimedumu miaka Mia tatu bila marekebisho ya Katiba hizo, Tatizo moja la nchi changa na hasa za Afrika nikujaribu...
  3. A

    Katibu Tawala mkoa wa Kagera, Diwani Athumani ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa TAKUKURU akichukua nafasi ya Valentino Mlowola

    Mh Rais mimi nakuamini nakuombea nina hakika baba wa Taifa angefufuka leo angejisikia mwenye furaha na faraja kukutana na mtu anaye enzi na kusimamia kauli zake kwa vitendo Mungu akubariki saba baba
  4. A

    Rais Magufuli: Mradi wa Stieglers Gorge sasa kuitwa Nyerere Gorge

    Wakuria pia huita [Inyancha] nakubaliana na ushauri wa mtoa hoja
  5. A

    Rais Magufuli: Mradi wa Stieglers Gorge sasa kuitwa Nyerere Gorge

    Mh Rais Magufuli nakuombea kwa Mungu leo katika hotuba yako uliyoitoa leo katika kijiji cha Butiama na kumuenzi baba wa Taifa na kuamka kumpa jina la Stieglers Gorge Kuwa Nyerere Gorge asante asante. Askofu Muhagachi
  6. A

    Taifa la wajinga hushangilia uovu na kuuchukia ukweli...

    Ndugu Nyerere naomba utujulishe utafiti wa matokeo ya kuwatukana wananchi wenzako kwamba ni wajinga tena kwa asilimia kubwa na mbaya kiasi hicho nataka kuelewa kigezo na utafiti uliotumia katika viwango ulivyotumia kuwaita watanzania kuwa ni wajinga sana [no research no right to speak] ndipo...
  7. A

    Kwanini CCM inaendelea kushinda chaguzi, licha ya kuwa ndio chanzo cha umasikini wa taifa letu, rushwa na ufisadi?!

    Pascal Katika hoja zako napointi zako zote umelitumia kiuhalali jukwaa lako la kiuandishi na kitaalamu kama mwanajamii aliye elimika na kuifahamu Tanzania vizuri sana umeanisha kwa usahihi kasoro za kitanzaia na ukajenga hoja zako kiufundi vizuri sana lakini kasoro chache nazoziona kwako ni...
  8. A

    Lowassa hana namna zaidi ya kuipigia magoti CCM, Mkwewe Sioi Sumari mpaka sasa yupo lockup

    Natafakari na kuendelea kutafakari juu ya mkutano uliofanyika kati ya Mh.Rais na Waziri Mkuu wa zamani Mh.Lowasa hivi karibuni. Kwanza tufahamu wangu mimi siasa sio uadui matusi uongo vitina na chuki, siasa ni mfumo wa kisayansi wa kujadiliana kwa hoja zinazojengwa katika sera za vyama ili...
  9. A

    Shida ni Kwamba waliosema Mzee Kikwete ni dhaifu ndio wanasema Rais Magufuli ni Dikteta

    Mimi pia najiuliza Kakobe kumwambia Mh.Rais atubu amefanya makosa gani na kuna mahusiano gani na wingi wa fedha alizonazo kuliko serikali ya Tanzania hata aweze kuwalipa mawaziri wote wa Tanzania. kama sio kiburi na kujisifu nini? kweli hiyo ndiyo sauti ya kinabii kwa Taifa.? Kama kweli Kakobe...
  10. A

    Kenya watatuacha zaidi. Tanzania hatuna plan

    Kwa nini sasa usihamie Kenya huko unakosifia sana juzi ndugu yangu alienda mpakani anataka kwenda Nairobi akitumia kitambulisho chake alifika pal Sirari mpakani akadai anenda Nairobi na kitambulisho cha Tanzania aliambiwa hayo matangazo aliyotoa Rais Kenyatta hayoko katika sheria lazima...
  11. A

    Maalim Seif ampongeza Rais Magufuli kwa kuongoza nchi vizuri 2017 na kwa amani

    Nakushukuru kwa mchango wako katika Taifa letu
  12. A

    Upinzani chanzo cha umasikini Tanzania na Afrika

    Sio kweli kuwa upinzani ndio sababu ya Umaskini Tanzanaia/Afrika ni bora kuwa na vyama vingi vya siasa kuliko kuwa na mfumo wa chama kimoja. Maendeleo ni mchakato hayana njia ya mkato na demokrasia pia ni mchakato haina njia za mkato ili kuufikia utimilifu wa maendeleo kwa hatua za nchi zetu...
Back
Top Bottom