Wewe story hujaisoma unaingiza utabiri. mgogoro ni wa ndani ya chama madiwani wametofautiana kwenye 10% ambayo inaonekana mnufaika ni Zitto na Meya wake na ukumbuke kuwa kikao hicho ni kikao cha ndani ya Chama chenye wajumbe ambao ni makada wa zambarau sasa hiyo ccm na Bashiru wanaingiaje
Jamaaa yuko sahihi hata mkijitoa ufahamu sass hivi kunafursa pana yakufanya siasa kuliko kipndi cha awamu ya JK kwa sababu JK alikuwa haumizwi na vimaneno maneno na hoja za upinzani ila Mfalme wa Leo anaumizwa sana sometimes anapanic huyu ndio mzuri kwa kumfanyia siasa kwa sababu unauwezo wa...
Biashara haisomwi kwenye vitabu yaani nikama siasa ukitaka kuijua vizuri ingia mwenyewe. Huwezi amini huku mtaani kwetu kaka hujulikani hakuna mtu atakayenunua biashara yako. Utasikia mama akimtuma mtoto sokoni nenda kanunue dagaa kwa mama mama fulani ukimkosa nenda kwa mzee fulani 90% ya manuni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.