Mkuu bongobongo unaweza kutengeneza kwa mbao kivipi, na system ya maji utaweka vipi sasa, pia sehemu ya kuwekea chakula na pia sehemu ya kuchukulia mayai. Kumbuka cage zetu zina uwezo wa kudumu kwa miaka 15 mpaka 20, unaweza kuona 1million moja ni kubwa kwa leo lakini in 20 years utakuwa umesave...