Amoblazing
Member
- Jul 26, 2012
- 18
- 25
Nauza chicken cage, kwa yeyote atakayehitaji tuwasiliane kwa namba +255 658-300982, zina uwezo wa kubeba kuku 160 kwa bei ya Tshs 1,000,000 kwa cage.
Mkuu tuwekee picha kuone aina ulizonazo.
milioni 1 unajenga banda linalochukua kuku 300+Nauza chicken cage, kwa yeyote atakayehitaji tuwasiliane kwa namba +255 658-300982, zina uwezo wa kubeba kuku 160 kwa bei ya Tshs 1,000,000 kwa cage.
PichaMkuu bongobongo unaweza kutengeneza kwa mbao kivipi, na system ya maji utaweka vipi sasa, pia sehemu ya kuwekea chakula na pia sehemu ya kuchukulia mayai. Kumbuka cage zetu zina uwezo wa kudumu kwa miaka 15 mpaka 20, unaweza kuona 1million moja ni kubwa kwa leo lakini in 20 years utakuwa umesave pesa nyingi sana. Nunua kitu chenye ubora wa juu
Mko wapi tuje tuafishe macho kwanza ,hizo cage zinakuwa ndani ya banda au wengine hatujui mambo ya ufugaji lakini ndio tupo kwenye harakati za kuanza
Heh heh waachwe huru halafu wafe kwa manati au ndoanoI'm against huu ukatili dhidi wa wanyama. Kuku wanatakiwa kuachwa huru.