Sahihi kabisa, nimejaribu kuchunguza madhara ya kuruka hatua katika elimu niliona suala la kukosa reasoning, advance ni sehemu ambayo mtoto hujenga reasoning kwa sababu hutoa wigo wa kujadili na kila mtu hujiona fundi lakini kwenda moja kwa moja diploma inategemeana baadhi ya course vijana...
Elimu ya Tanzania inatia hasira tena inaumiza sana hasa unapoichunguza kwa undani ebu fikiria aliye pata ZERO kidato cha nne anaaminiwa kuwaandaa wanafunzi wa shule ya msingi et! Mwalimu, mwalimu! Yupi aliyepata zero form four?
Ambaye Hana hata taaluma ya ualimu? Serikali inabidi itambue na...
Siasa! Zinaharibu sana mfumo mzima wa elimu yetu ya Tanzania na Adhabu inawarudia wapiga kura wake, nakumbuka Kuna mzazi alikuwa akilalama mtoto kasoma Miaka mnne kidato cha kwanza hadi cha nne (I-IV) Lakini kusoma barua anasoma kwa shida, anashindwa hata kuwafundisha wadogo zake nyumbani masomo...
Matumizi ya lugha ni changamoto sio wakati huu wa elimu Bure tu Bali tangu kitambo, ila kuongezeka kwa wahitimu wenye vyeti vizuri ila uwezo duni ni janga kwa taifa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.