Wizara ya Elimu Tanzania
Msipo angalia hili la DIT linakuja na sura nyingine
Taasis ya Teknolojia Dar DIT ni Taasis maarufu yenye kutoa ujuzi lakini kwenye suala la huduma ni kama Taasis iliyokufa
Huduma za wanafunzi zimejaa Rushwa, udhulumati na Upendeleo.
Tuna ikumbusha Wizara ya Elimu...
Bila shaka wewe na mimi tumekuwa ni sehemu ya Ushuhuda wa Kauli mbali mbali za Viongozi wa Chama Wakijinasibu kuwa Chama Chetu ni Chama Tajiri na Chenye Wanachama Wengi.
Halikadhalika tumeshuhudia chama chetu kikiwa ni sehemu ya Mnufaika mkuu wa Ruzuku ya Uendelezwaji wa Maendeleo ya Chama, si...
Huu Utaratibu wa Viongozi kupewa dhamana na Kukiuka dhamana waliyopewa Umeanza kuwa ni Utaratibu wa kawaida sana.
Leo hii hakuna asiye fahamu Uchaguzi wa VITI MAALUMU MBEYA umeharibiwa na Wapuudhi waliopewa dhamana Ndani ya UWT MBEYA lakini cha ajabu Tuna kaliana kimyaa huku Mpasuko ukiendelea...
Nakuona Katibu UWT MBEYA AMINA MWIRU.
Yaani Mgombea akunulie Gari Una jisahau kabisa kuwa Umeuza Nafasi ya Uwakilishi??!!.
MBEYA HAPO muda huu AMINA MWIRU Katibu Anakula faida mara baada ya FYANDOMO kulipa gari na kama zawadi kusaidia kwenye kinyang'anyiro cha Uwakilishi Wanawake Mkoa Mbeya...
Uki staajabu ya TEMEKE Utayaona ya MBEYA.
UBUNGE VITI MAALUMU UNA NUNULIWA.
Haki ya Uwakilishi Imenunuliwa
Haki ya Kundi Maalumu la Wanawake kumbe wanajiweza ikiwa kama watauza nafasi na Kununua Nafasi.
Ubunge wa VITI MAALUMU MBEYA Umefika bei sio Uwakilishi Tena Bali ni Biashara.
Aibu Kwa...
Kwa hivi karibuni kila Mtanganyika na Mzanzibari ameshuhudia Serikali inayoongozwa na CCM ikiwa ni kinara wa kuendelea kuwasahaulisha kizazi hichi kipya historia mama ya Nchi yao Iliyo ni tunda la Muungano yaani Tanzania.
Sherehe za Uhuru wa Tanganyika zimekuwa kama ni hisani, hazipewi kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.