Recent content by Amina juma1

  1. A

    JamiiForums Tatizo la kupoteza uwezo wa kunusa (Kutosikia harufu): Fahamu chanzo na namna ya kutibu tatizo hili

    Hii dawa naipataje au waweza kunifahamisha inavyotengenezwa
  2. A

    JamiiForums Tatizo la kupoteza uwezo wa kunusa (Kutosikia harufu): Fahamu chanzo na namna ya kutibu tatizo hili

    Wadau hamjambo kwa anaejua dawa ya pua kuziba naomba aniambie yaani inatoka pumzi tundu moja na mda mwengine inatoa pumzi tundu nyengine yaani zinapisha na harufu napata kwa mbali sana anaejua dawa ya asili naomba jamani sina vinyama vya pua.
  3. A

    JamiiForums Pumzi imezima, zinapishana kutoa pumzi

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787]hapan sina mafua jamani
  4. A

    JamiiForums Pumzi imezima, zinapishana kutoa pumzi

    Ahsante nitafanya ivo
  5. A

    JamiiForums Pumzi imezima, zinapishana kutoa pumzi

    Jamani naomba ushauri wenu pua yangu kama imeziba hivi inatoa pumzi kwa kupishana muda huu inatoa tundu hili na muda huu inatoka tundu hili nimeenda hosptali sina vinyama nimepewa nasal spray nitumie hivi kuna dawa za asili mtu anajua mana ni mda na harufu napat kwa mbali sana Msaada tafadhali...
Back
Top Bottom