Recent content by Amin The Race

  1. Amin The Race

    Hizi Ndoto Zinanikera Sana

    Mkuu pga goti umshukuru Mungu kwa namna anavyokupenda, nilishaota sana na nilipata msaada kwenye moja ya vitabu vya Mwakasege. Pitia hz dondoo hapa chini, cha msing usidharau ndoto. Mungu ana mpango kabambe juu ya malengo ulonayo. Hebu tuangalie mfano juu ya Biblia inasema nini kuhusu tafsiri...
  2. Amin The Race

    Siri ya ndoa kudumu

    Sio 4*5, sema 2*5 kabsaa
  3. Amin The Race

    Rafiki yangu anaomba ushauri hyo ndio story....Mama angu anataka kunipa radhi kwa ajili ya mume wangu

    Pole kwa hayo, ushaur wang n huu Tafuta eneo lililotulia uende na mpenz wako, sio lazma iwe hapo nyumban. Jikumbushen mipangoa yenu ya kabla ya ndoa, weken waz changamoto ambazo mnapitia kwa sasa. Muombe msamaha kwa sehem ytte uloteleza. Ziorodheshen zote kisha anzen kushauriana namna ya...
  4. Amin The Race

    Chimbuko la usomaji huu wa saa ni nini?

    Kwa namna moja ama nyingne, WASOMI wametufikisha hapa
  5. Amin The Race

    Chimbuko la usomaji huu wa saa ni nini?

    [emoji16] kwa nn saba isomwe 1???
  6. Amin The Race

    Chimbuko la usomaji huu wa saa ni nini?

    Vp hao wazungu kwa nn waanze siku usiku? Kuna kigezo chochote???
  7. Amin The Race

    Chimbuko la usomaji huu wa saa ni nini?

    Habar wanajamvi Leo nmekutana na changamoto baada ya mwanang kuniuliza swali ambalo sikuwa na majib ya kuridhisha. Swali lenyew n huu utaratibu wa kusoma saa, yaan kwa mfano kwa kama n saa saba mchana, huandikwa 1 badala ya 7. Huu utamadun ulianzia wap na kwa nn?? Ahsanten na karibun san Wajuv...
Back
Top Bottom