Huyu maalim na wafuasi wake wanatakiwa wafahamu kuwa hii ni nchi ambayo kila mtu ni lazima kuheshimu sheria za nchi huyu mtu ni mchochezi ukifatilia mikutano yake karibu yote hutumia ludha za kichochezi tumeshuhudia mengi sana ambayo yalisababusha majanga mazito NI LAZIMA UFIKE WAKATI TUHESHIMIANE
uchaguzi km umeharidika unategemea kufanyika nn km sio kurudia?na hii Zanzibar sio ya kwanza kurudia uchaguzi na Zanzibar pia uchaguzi kurudia sio mara ya kwanza huko nyuma kabla ya mapinduzi kuna uchaguzi ulirudiwa si bado nikawaida sana
Maalim hana hoja ya msingi kwa kutokushiriki uchaguzi wa marudio,alikataa mwenyewe kushiriki kwa kujua kua kura zake fiki zimeshagundulika na hivi sasa anataka serekali ya mpito baada udanganyifu wake kwa wafuasi wake kua ataapishwa tarehe 49 umegonga mwamba na akaja na mpya kuwa Rais Shen mwezi...
Binapsi sioni sababu ya msingi wananchi kubaguwana,Dini zote hazikubali waumini wao kubaguwana achilia mbali vyama vya siasa,huu ni zaidi ya unyama,nadhani iko uaja viongozi wa kisiasa wanaohamasisha wanachi kubaguana ni lazima wachukuliwe hatua kali kwani sio jambo zuri na kwanini iwe cuf tu...
binapai hizo porojo za kutaka kukaameza moja mm hazinipi tabu ila nimeenda mbali zaidi anaposema km Zanzibar haitachukuaatua za kuondoa mgogoro wa kisiasa kuna uwezekano mkubwa makundi ya kiuslamu ya nchi km Somali,kenya na nchi nyengine za kanda wa afrika masharuki zenye msimamo mkaki wa kidini...
Rais Shen amekwenda km Rais wa nchi kuiwakilisha Tanzania,mtazamo wangu kwanzs tungejua sababu za yy kuwekwa sehemi ile pengine kuna sababu maalum iliyofanya iwe vilr,tukizungumzia kihadhi km baadhi ya watu wavyo seme eti nako hatambuliki huko ni uvivu wa fikra,ni wakumbushe kiongozi mkubwa km...
kiikwwli sioni mdingi wa hoja wa maneno yake zaidi ya kujaza chuki na hoja hii sio yake yy ametumika kipaza sauti tu ni hoja ya upinzani,swala hili ni mfumo tuliojiwekea toka enzi nna dahari hizi ni kauli za kichochezi ktk taifa letu (Chuo cha Amani)sikubaliani nae hata kidogo ni mchochezi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.