Recent content by Ambrose Sulley

  1. A

    Msaada: Kutengeneza mahusiano kati ya PHP na Database server (MySQL) kwa kutumia XAMMP kwenye windows OS

    Nitajuaje MySQL driver's gani ipo installed? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. A

    Ushuhuda: Kilichonifanya niwe Muhasibu badala ya I.T

    Historia nzuri ya chimbuko ya IT. Wanasema 'Sio kila kitu unachokipenda utakuja kufifanyia mazoezi'. Inaweza kuwa haikuwa Destiny yako so keep push yourself hapo ulipo sababu hakuna kitu kilichoharibika. Computers world is huge very huge. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. A

    wataalum hebu nielimisheni kuhusu WIFI

    Wireless Fidelity (WI-FI) ni mtandao ama teknolojia inayoweza safirisha mawasiliano kwa njia ya Mawimbi ya Radio (Radio Frequency). Mfano Bluetooth Wireless technology ni mtandao mkubwa sana na unafaida sana kwa maisha ya binadamu ya kila siku. Wireless sio free kama kama wanavyosema 'There is...
  4. A

    icloud unlock for iphones

    Unatumia software gani to unlock? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. A

    Msaada: Kutengeneza mahusiano kati ya PHP na Database server (MySQL) kwa kutumia XAMMP kwenye windows OS

    Habari! Niko na project ya kutengeneza system ambayo itawasaidia vijana kujisajili na kuinga kwenye system(server). ·Naomba msaada wakutengeneza mahusiano kati ya PHP na Database server (MySQL) kwa kutumia XAMMP kwenye window Machine? Kwa niaba. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom