Nawashukuru sana wadau mliochangia hoja,nimefaidika sana na nataka kuanza shughuli za ufugaji wa nyuki ila sijui ni kiasi gani cha mtaji kinahitajika kwa mmfano nikitaka kuanza na mzinga mmoja, na je? Nikiwa na mtaji naweza kumuachia mtu akaendelea kuusimamia?nauliza hivyo kwa sababu bado nasoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.