Recent content by ambaga1717

  1. A

    JamiiForums Tanzania Agenda ya bomoa bomoa inatosha kuiondoa CCM madarakani

    NCHI HII SIYO MARA YA KWANZA KUPATA MATATIZO KWANZA HAO WENGI WANAOBOMOLEWA HAWAJAMCHAGUA JPM WEE ANGALIA KARIBU MAJIMBO YOTE YENYE BOMOA BOMOA SIYO YA CCM SASA HATA MSIPOMCHAGUA HAMNA KITAKACHOBADILIKA KWANI VIJIJINI WAMEBOMOLEWA MJINI SI MLIMKATAA MAGUFULI SASA MNATEGEMEA NINI?
  2. A

    JamiiForums Tanzania CRDB: The most Inefficient Bank of all times

    BADO NA HILI MNALALAMIKIA SERIKALI DUH!!!
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kwa ubaguzi na upendeleo huu anaufanya Rais tena wazi wazi inaamana wasio na vyama hawana haki na uteuzi?

    UNATAKA KUVUNA USIPOPANDA? CMM NDIO CHAMA TAWALA NA WANA HAKI YA KUCHAGUA WANAOMTAKA HII SIYO SERIKALI YA MSETO SUBIRI CHADEMA MKUU ACHA GUBU.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Wazalendo Lissu na Zitto tunaomba mtujulishe maendeleo ya ndege yetu iliyoshikiliwa

    LISSU AJE ASME MAANA NDIO MWENYE TAARIFA ZA NCHI HII
  5. A

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Toangoma ashutumiwa kuuza viwanja visivyo halali!

    nauza wapi na mimi njie kununua
  6. A

    JamiiForums Tanzania Musoma: Mkuu wa wilaya apiga marufuku mikutano ya injili bila kibali kutoka kwake

    ni sawa vibali muhimu maana sasa kuna midahalo na mikutano holela wasisahau na wanganga wa kienyeji na mashehe
  7. A

    JamiiForums Tanzania Waisrael walivyotaka kunitoa kizazi

    ikitokea bongo hapa magufuli akaamua raia watanzania tuu ndio wapewe privileges na machotara waondelewe chama fulani kitapinga na watasema rais mubaguzi... ila israeli mnawaita smart people.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Ulinzi wa Rais Magufuli ni wa hali ya juu

    safi sana maana kuna watu hawalali wanatafuta wafanye nini kumdhuru rais...hawajui huyu rais akidhulika ni watanzania wote tutateteleka maana hatuna pesa ya uchaguzi wala mazishi kwenye bajeti ya mwaka huu.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini naona Rais Magufuli ameshindwa kuongoza Taifa...

    mtaongea yote ndio aliyechaguliwa na watanzania na amepitia michujo yote si mlisema mnataka rais dikteta mmepata...bwana amejibu.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Arusha: Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje ampokea Rais wa Mauritius

    kila kitu mnataka kukikosoa ni upungufu wa mawazo....subirini awamu zenu
  11. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Chato International Airport na si Omukajunguti international Airport? Kagera inaonewa sana

    RUDINI KWENU MKAJENGE....mnafikiri kila kitu mtafanyiwa na serikali nani awapende wakati nyinyi wenyewe hamjipendi mnag'ang'ania mjini mnasema kwenu mbali sasa serikali ndio itaona karibu anzeni kujipenda kwanza wenyewe na muuache majungu ndio mtaendelea kwani hamna wabunge??
  12. A

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Wanasiasa wanakamatwa kwa makosa yao

    KAMA WANASIASA WA UPINZANI WANAOENEWA WASUBIRI MAHAKMA ITOE HUKUMU..... maana noana watu fulani tuu kwenye chama ndio kila siku wanakamatwa sasa kwanini kama wanasiasa wa upinzani ndio wanakamatwa mbona kuna wengine hawakamatwi. ni midomo wengi hawajui kuzungumza kama wamebwia unga ...wana...
Back
Top Bottom