Nimetoa taarifa no.3769 Kuwa kuna nguzo inataka kuanguka maeneo ya Bonyokwa chuoni...
Sasa ni wiki ya pili na hakuna Masada wowote Toka Tanesco.
Cc:Tanesco meneja Tabata-Liwiti
unachosema Mr Frank ni kweli kabisa..hapa Tz wafugaji tulianza kama wachache Sana lakini sasa hivi baada ya kuipa hii business publicity ya kutosha wafugaji nao wameongezeka Sana na kuzidi kujitengenezea pesa kwa kuendesha biashara hii ya Kware(mayai na nyama) licha ya watu wengi kutisha wenzao...
I think it is all about flexibility na uwezo Wa kutumia rasilimali zilizopo ndani ya mazingira yako kupata matokeo yanayotarajiwa..wewe am baye unatoka eneo ambalo unaweza kupata barley kiurahisi tengeneza barley fodder..BT kwa wale ambao ni ngumu kupata barley wawe wabunifu kutimiza malengo...
Mr chasha Mimi Niko hapa dar Es salaam nimeweza Kuwa innovative zaidi nimetumia millet(mtama)..kutengeneza hydroponic fodder yangu rather than barley.nimenunua mbolea(foliar fertilizer) hapahapa mjini na matokeo ni mazuri sana.nalisha Kuku na Kwale zangu kwa kutumia hii fodder.hebu jionee picha
Kwakuwa wadau wengi Wa hapa JF nimekuwa nikiwauzia mayai kwa wingi ambapo imefikia point sasa demand ni kubwa kuliko supply, n still kuna wengine wanahitaji vifaranga,nimeamua kuagiza incubator kubwa zaidi ili nikidhi mahitaji ya soko..hivyo wale Wa vifaranga vya Kwale tuwe na subira kidogo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.