Recent content by Amazing Legal Officer

  1. Amazing Legal Officer

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Nimeshinda Sh 27M kwenye kubet, Kampuni inataka kunipa Sh 3M, Gaming Board hainisaidii

    0760848333, Wakili nitafute nikusaidie recover it.
  2. Amazing Legal Officer

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Dah kashachana..kalambwa mbili🙄🙄
  3. Amazing Legal Officer

    JamiiForums Tanzania Hatimae hukumu imetoka tayari, siku ya kwanza tu ya kesi kusikilizwa

    Iyo inaitwa mtalaka hatongozwi😀😀😀
  4. Amazing Legal Officer

    JamiiForums Tanzania Inakuaje mtumishi wa Serikali unajiona kama Mungu mtu? Hampewi training huko namna ya kuzungumza na wateja??

    Wala usiende kinyonge utahudumiwa vzr tu..wengine hawana shida wanatoa huduma nzuri
  5. Amazing Legal Officer

    JamiiForums Tanzania Hatimae hukumu imetoka tayari, siku ya kwanza tu ya kesi kusikilizwa

    Bora yameisha...Ila kesi za talaka ni Kama kesi za mirathi haziishagi,huo ni mwanzo Tu..kila la kheri
  6. Amazing Legal Officer

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    SASA Mimi kanjunju ngoja niandike pembeni halafu ndo nichungulie
  7. Amazing Legal Officer

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Leta Nina ten linazagaa sielewi nibet vp
  8. Amazing Legal Officer

    JamiiForums Tanzania Inakuaje mtumishi wa Serikali unajiona kama Mungu mtu? Hampewi training huko namna ya kuzungumza na wateja??

    Mimi nikienda kwenye ofisi za watu naheshimu mno mana hata Mimi ukija ninapofanya kazi nitakuheshimisha vzr tu..dunia tunapita haina haja ya kuvimba muhudumie mtu vzr basi
  9. Amazing Legal Officer

    JamiiForums Tanzania Inakuaje mtumishi wa Serikali unajiona kama Mungu mtu? Hampewi training huko namna ya kuzungumza na wateja??

    Sikumpiga picha Ila nilipoenda kumueleza Kwa boss wao walipoitwa hawakuwa na cha kupinga
Back
Top Bottom