Khaaaa inaonekana hupendi mikato, shortcut yann nimecheka sana kwa sauti kubwa sijui majirani wamesikiaaa? Hii koment in nomaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawo ni wadudu chakufanya tafuta dawa ya kuwauwa sio ugonjwa huo. Ushauri tuu pia unaweza kuchanganya buster humor humo kwenye sumu ya kuuwa wadudu. Tafuta sumu aina ya Multi _Alfa plus, liberate, au spidex
Sent using Jamii Forums mobile app
Habarini ndugu zangu natumai mko vyema na majukumu yenu ya kila Siku ya maisha. Ningependa kutumia nafasi hii kupewa elimu juu ya kilimo cha mahindi.
Swala langu limejikita sana katika kufahamu, Je Kuna madhara yeyote yatakayo pata mahindi yasipopata au kuwekewa udongo baada ya kutumia sumu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.