Radio free Africa inaongoza kutoa tarifa za namna hii laki huwa hazina suluhisho hivyo jaribu kuyacha mambo ya redio hiyo.
Vilevile taifa letu ni la watu ambao kila kitu wanachoambiwa huamini kirahisi bila kufanya uchunguzi ukiwemo wewe jifunze kufikiri
Limetajwa jina la Mtumishi ambaye...
Napenda kutoa dukuduku langu kwa wachangiaji
Mnchangia kufuata ueneo (mfano huyu katoka kwetu basi unamwelezea kama kweli huku ukijua hupati chochote)
Mnachangia kufuata dini (huku mkijua ndio wauza unga , pombe,mafisadi, wabakaji dini iko wapi?)
Mnachangia kufuata Chama (uku mkijua kuwa kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.