Wakati ccm ikimtaka mkurugenzi wa jiji kuitisha uchaguzi wa meya haraka, inaonekana dhahiri kuwa chadema/ ukawa wameshakata tamaa. Sasa wafuasi wengi wa ukawa wanajadili namna ya kumkwamisha RC Makonda ktk majukumu yake. Wakishindwa utasikia ccm imeiba kura! Akili ya ovyo Sana hii
TBS sijui ilivamiwa na akina nani mkuu. Maana sielewi kabisa. Kipindi kile tuliaminishwa ni "majembe" leo tunaambiwa hawana kiwango! Anyway 2020 si mbali!!
Wanajukwaa, nimeshuhudia sarakasi za ukawa bungeni kwenye uteuzi wa kamati. Haiingii akilini kwa mtu kwenye akili timamu aliyeichagua UKAWA Leo anaambiwa mbunge wa Ukawa hana kiwango cha kuwa kwenye kamati ya PAC na LAAC. Ukawa watuombe radhi wapigakura kwa kutuletea wagombea wasio na viwango na...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.