Jeshi la Urusi limeonya kuwa raia wote waondoke Kyiv kabla halijaanza oparesheni katika mji huo. Muda wa Kyiv ukifika halitachangua pakupiga.
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
.. Kikosi cha Wanaanga wa Marekani kinafuatilia shughuli isiyo ya kawaida ya setilaiti ya Urusi inayohusiana na uelekezi wa manowari ya nyuklia.
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Tatizo sio kwamba Putin ni smart sana, ambayo bila shaka yeye ni smart. Tatizo viongozi wetu (NATO na POTUS) ni mabubu, mabubu" - Donald J Trump aka Stable Genius [emoji16][emoji41]
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
[emoji117] Marekani na Ufaransa zimewataka Raia wake kuondoka Urussi Haraka.
[emoji117] Putin ameamuru kitengo cha Nuclear kikae Stand by
[emoji117] Urussi imesema kama Dunia haioni umuhimu wa Urussi kwanini wao waone umuhimu wa Dunia.
Mhh! Winter is coming wazee!
Sent from my CPH1923 using...
Naomba niwakumbushe kauli ya Vladimir Putin Leo Mchana.
Wale wanaohusika na uungaji mkono wa uhamishaji wa silaha za Magharibi kwenda Ukraine pia watalengwa.
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Wakuu saivi sio utani tena kwa Hali ilivyo kuna kila dalili ya kuzuka kwa VITA kuu ya TATU ya DUNIA. nimeanza kuogopa.
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Russian state TV: manuari zetu pekee zinaweza ku launch zaidi ya 500 nuclear warheads, ambayo tunawahakikishia kuiharibu US na NATO kwa uzuri tu. Kanunini yetu ni rahisi tu "kwanini Tunahitaji Dunia wakati yenyewe hitaki Russia IWEPO"?
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.