Recent content by Amani Msumari

  1. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mambo haya saba yatatokea kabla ya uchaguzi Mkuu 2025

    Umesemaje?
  2. A

    JamiiForums Tanzania Watanzania tujifunze kuukubali Ukweli hata uwe Mchungu Vipi. Hili la Wasomi kusoma VETA japo Chungu, ndio Ukweli Wenyewe!

    Mayalla kwetu maana yake ni njaa!, ni utani tu ndugu yangu Pascal. Nashukuru kwa mchango wako mzito kuhusu kauli ya Mheshimiwa Waziri Mkuu alipozungumzia wahitimu wa shahada kushauriwa kujiunga na VETA/VET. Ni kweli, kilichogusiwa ni changamoto halisi ya ukosefu wa ajira. Hata hivyo, ili...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Muziki kwa wahenga sana: 60's hadi 90's

    Good music
  4. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tanga tuna jambo letu, Tanga imeamua, Tanga ni ya kijani

    Siku zote nilijua kuwa Kigombe ipo Pangani. Sawa mkuu
  5. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tanga tuna jambo letu, Tanga imeamua, Tanga ni ya kijani

    Sikuwahi kulijua hilo. Nielimishe tafadhali
  6. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tanga tuna jambo letu, Tanga imeamua, Tanga ni ya kijani

    Tanga in mambo na watu kibao akiwemo Mgunda
  7. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tanga tuna jambo letu, Tanga imeamua, Tanga ni ya kijani

    Tanzania ina majiji 6, Tanga ikiwemo
  8. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tanga tuna jambo letu, Tanga imeamua, Tanga ni ya kijani

    Heri ya mwaka mpya lazarod298
  9. A

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson; Mwanasiasa anayekua kwa Kasi ya ajabu sana

    Ivi ni neno la lugha gani?
  10. A

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson; Mwanasiasa anayekua kwa Kasi ya ajabu sana

    Mnamo septemba 2015 Dr. Tulia Ackson alikuwa ametulia pale mlimani akifundisha sheria. Alikuwa "just a common citizen". Mara puuuuh! huyoooo amepaa. Kutokea Novemba 2015 Dr. Tulia hakutulia tena, alipaa juu, juu zaidi Kama tai. What an achievement. Huyu dada anakitu ndani yake, nasema ana kitu...
  11. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kumbe kuna hatari ya kukosa Trilioni 2 kutoka kwa Wahisani kutokana na Kasoro za Uchaguzi(?)

    Busara na hekima ni jambo muhimu sana kwenye maisha ikiwa ni pamoja na siasa. Salary Slip naona CHADEMA wanataka kurudia kosa lile lile. Ni wazi kuwa bado hawajajifunza kuhusu nini wananchi wanataka, nini kinaweza kutumika kuwaadhibu na zaidi sana nini maana ya kuweka mbele maslahi mapana ya...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Ujumbe Maalum kwa Dkt. John Magufuli, Rais Mteule wa Tanzania

    Sexless Mshana Jr Salary Slip karibuni Dodoma mshuhudie kuapishwa kwa Mheshimiwa Rais John Magufuli. Tuanze upya #maendeleohayanachama
  13. A

    JamiiForums Tanzania Wakurugenzi wa Halmashauri na Wakuu wa Wilaya fanyeni haya

    H Huko Marekani wenyewe bado wanachangamoto za mambo mbalimbali Kama ajira. Ishu n kuwa kero nyingi zitatatuliwa
  14. A

    JamiiForums Tanzania Wakurugenzi wa Halmashauri na Wakuu wa Wilaya fanyeni haya

    Wengi ni wasomi
Back
Top Bottom