Ukurasa wa mwisho wa hotuba ya Waziri mkuu (Mh.Pinda) wakati akiomba bunge lipitishe bajeti yake na ya TAMISEMI alisema hivi:
"Halmashauri zote zinaombewa jumla ya Shilingi Trilioni Nne, Bilioni Mia Mbili Thelathini na Moja, Milioni Mia Nne Arobaini na Mbili, Mia Tisa Sabini na Nne Elfu...