Recent content by aman abdalah

  1. aman abdalah

    Ajira za walimu

    Daah bora hata aiseeee maana,hata options pale hamna Grade A certificate hahaha Sent using Jamii Forums mobile app
  2. aman abdalah

    Ajira za walimu

    Jamani naomba msaada kwa wale ambao wanafanya application juu ya Ajira za walimu zilizotangazwa juzi kati, Sasa nimeappload academic transcriptl lakini nikiviewe naambiwa ni nimeappload Grade A certificate,sasa hii Grade A certificate ndo transcript au? Maana sielewi,hata kwenye zile options za...
  3. aman abdalah

    Jinsi ya kuomba ajira za waalimu

    Daaaah mtu unaweza lia kwa namna mtandao unavyosumbua Dah! Sent using Jamii Forums mobile app
  4. aman abdalah

    Kwa wale wanaosoma Kiswahili wa vyuo vikuu, nisaidieni hili swali

    Je! ni faida zipi wanazozipata wanasaikografia,walimu, wanafunzi na matabibu matamshi pale wanapojifunza taaluma ya Fonetiki inayohusiana na alama za kifonetiki ?
  5. aman abdalah

    Hivi sisi tuliopata transfer utaratibu unakuaje?

    Mimi nimekuja hapo duce kutaka kujisajili na nimepangiwa pale kwa njia ya transfer lakini wametuambia bado majina ya waliopangiwa pale kwa nija ya transfer TCU hawajayapeleka na wala admission letters zetu bado hazijafika ila wakatuambia tunaweza kuendelea kusoma sasa hapo inakuwa ngumu kwa...
  6. aman abdalah

    Hivi sisi tuliopata transfer utaratibu unakuaje?

    Kesho ndo naenda then kama utakuwa haujaenda nitakupa feedback.
  7. aman abdalah

    Deadline za TCU

    No transfer anymore na inamaanisha mda uliopewa wa kulipa transfer fee ukipita ndo basi tenaaaaa imekula kwa mtu,au?
  8. aman abdalah

    TCU wale waliofanya transfer namna ya kuripoti vyuoni

    Kweli mwenye uelewa zaidi juu ya suala hili atufahamishe tujue inakuaje
  9. aman abdalah

    First year wote msisahau kuwa makini na UKIMWI

    Nimekuelewa brooooooooooo big up xna daaah nita take care na yawezekana kutojihusisha pia...........
  10. aman abdalah

    Hivi sisi tuliopata transfer utaratibu unakuaje?

    Ndugu yang hata mim xjaelewa ila nimeamua kwenda nilipohamia nahc hukohko nitajua utaratibu ukoje maana nikisema tena niwasubirie TCU nitakauka machozi
  11. aman abdalah

    Nina tatizo hili, nisaidien

    ahsante xna ndugu yangu
  12. aman abdalah

    Zaidi ya wanafunzi 200 waliokosa mkopo waandamana hadi studio za ITV

    mmmmmmh baada ya hapo kipi kiliendelea?am sorry
  13. aman abdalah

    Nina tatizo hili, nisaidien

    nashuukuru kwa ushauri wako uliona busara na hekima,mungu akubariki
  14. aman abdalah

    List ya transfer za degree mbali mbali

    is ther anythng wrng with dat word?@complex number.
Back
Top Bottom