Recent content by amakwa

  1. A

    Nimeumizwa sana na Dr. Slaa

    Nafikiri dr. Anatakiwa kujitokeza na kumaliza utata huu kwa kutoa tamko rasmi juu ya hatma yake ndani ya chadema.
  2. A

    Vijana wa Lowassa zaidi ya 4000 watelekezwa Dodoma

    Acha wateseke tu kwani walikua hawalijui hilo?
  3. A

    CCM ya Zanzibar hamna cha kueleza isipokuwa mafuta na gesi-someni hapa mfunguke

    Mambo mengi yatstokea kuelekea kura ya maoni
  4. A

    Kasimu majaliwa anachangia sh.ngapi kwa mwezi kwa ajiri ya ujenzi wa maabara za shule?

    Acha wachangie tu kwani wengi wao hawajielewi ni ngumu kusikia kada nyingine zikifanyiwa hivyo.
  5. A

    Nani aliyeiua CHADEMA chuoni UDSM?

    tatizo sio kufa tu kwa chadema udsm,wanafunnzi wengi hawaelewi umuhimu wa uongozi bora kwa ngazi ya chuo,hawaelewi nchi inakwenda vipi,mijadala ya katiba na mambo ya msingi inafanyika vijweni tu,ukumbi wa nkurumah umekuwa wa mikutano tu na si wanafunzi kukutana na kujadili mambo ya msingi,kazi...
  6. A

    CCM yatoa miezi 6 kwa waziri wa Elimu kujiuzulu....Vinginevyo itamtimua kwa nguvu

    kinana aache kuwadhihaki walimu,kama kweli ccm inawajali walimu atueleze ilikuaje hadi deni la walimu likawa kubwa namna hiyo bila kulipwa.chama kimeshindwa kuwajibika kwa watumishi.
  7. A

    Rungu la serikali latua kichwani kwa gazeti la Mtanzania

    tatizo letu hatutaki kukubali ukweli,kwa matukio hayo mlitaka waseme serikali gani ndo inanuka damu,serikali haiwezi kukwepa lawama juu ya hilo.
  8. A

    Kikwete: Nalaani CHADEMA kutaka kutengeneza kikundi cha Kujilinda

    nafikiri chadema wapo sahihi sana,mkuu akubali vyombo vya dola vimeshindwa kutulinda,mi nafikiri umefika wakati wa kila mtanzania kutafuta njia za kujilinda mwenyewe ,mali zetu na utu wetu hauwezi kulindwa na jeshi linalojiibia lenyewe.
  9. A

    Yuko wapi Deogratius Kisandu?

    huyu atakua kahama ndo familia yake kwa kiasi kikubwa inaishi huko,namfahamu vizuri sana nilishangaa sana alipojiingiza kwenye siasa
  10. A

    Meli ya Magufuli yazama, Ni baada ya wajanja kukata vyuma na kuuza kama chuma chakavu

    wahusika hawana wasiwasi coz hakuna wa kuwawajibisha,tanzania ilivyo sasa ni sawa na familia iliyokosa kiongozi,mambo ya kijinga kama hayo yanatia aibu sana.
  11. A

    Watanzania Tumejifunza nini Kutoka katika Maandamano ya BRAZIL?

    viongozi wa nchi za wenzetu wamekomaa kisiasa na wanapoona watu wana hoja za msingi wanakubaliana nao kwa maslahi ya taifa Zima,tatizo la viongozi wa serikali yetu wanajiona kama manabii na hawakosei.
  12. A

    Pinda: CHADEMA wanatekeleza kauli yao ya nchi haita tawalika

    motto wa mwanakijiji ndo anaelekea ukingoni huyo kifikra,anakurupuka kutoa kauli za serikali,chagonja anatakiwa kumuita akatoe maelezo.
  13. A

    Punguzo la PAYE kwa asilimia 1 ni dhihaka kwa wafanyakazi!

    kwa bajeti hii tuliopo vijijini ndo tutaumia zaidi na hili ongezeko la kodi kutokana na miundombinu yetu mibovu,ccm haina nia nzuri na wananchi wake,tuungane kuitia adabu 2015,amkeni jamani mapinduzi ya kweli huanzia vijijini.
Back
Top Bottom