Katibu Mkuu, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) , Dk. Willibrod Slaa, alisema Magufuli hawezi kushindana na Ukawa, kwani kwenye jimbo lake la Chato chama hicho kimechukua sehemu kubwa ya uongozi kuanzia ngazi ya mitaa na kata.
Dk. Slaa alisema ikiwa kwenye jimbo lake mwenyewe Ukawa...